Tarehe iliyowekwa: June 10th, 2022
Na: Hashim Jumbe, Judith Damas
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija, leo tarehe 10 Juni, 2022 amefungua Mashindano ya Umoja wa Michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania ...
Tarehe iliyowekwa: June 9th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Amos Makalla, amewaagiza wasimamizi na mkandarasi katika machinjio ya kisasa ya Vingunguti kusimamia kwa umakini ukamilishaji wa machinjio hiyo. Mheshimiwa Makalla a...
Tarehe iliyowekwa: June 6th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ludigija, amewaagiza wenyeviti na watendaji wa mitaa katika Wilaya ya Ilala kushughulikia changamoto za urasimishaji ardhi katika maeneo ya kufuatia malalamiko...