Tarehe iliyowekwa: October 23rd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ametenga zaidi ya shilingi Bilioni 11 Kwa ajili ya kuwawezesha Wananchi katika kujikwamua Kiuchumi.
...
Tarehe iliyowekwa: October 22nd, 2024
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa amesema Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kumaliza tatizo la foleni katika mkoa wa Dar es salaam kwa kutek...
Tarehe iliyowekwa: October 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo leo Oktoba 16, 2024 amepita Mtaa kwa Mtaa kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la makazi ambalo lilifunguliwa Oktoba 11, 2024 ...