Tarehe iliyowekwa: March 9th, 2021
Na: Hashim Jumbe
BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 09 Machi, 2021 limefanya kikao maalum cha mapitio ya Bajeti ya mwaka 2020/2021 na mapendekezo ya Mpango na Bajet...
Tarehe iliyowekwa: February 18th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge amesema ifikapo Alhamisi ya Februari 25, 2021 Kituo kipya cha kimataifa cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha kilichopo eneo la Mbezi Luis jij...