Tarehe iliyowekwa: April 14th, 2018
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Sipora Liana amefunga mafunzo ya watoa huduma ya usafiri pamoja na huduma ya chakula kwa watalii katika Chuo cha Utalii cha Taifa Dar es Salaam....
Tarehe iliyowekwa: April 10th, 2018
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Sipora Liana leo tarehe 10 Aprili, 2018 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere amekabidhiwa mpango kabambe wa usafiri na usafirishaji katika Jiji la D...
Tarehe iliyowekwa: April 6th, 2018
Menejimenti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 6 Aprili, 2018 imefanya kampeni ya kukuza na kuendeleza utalii jijini kwa ufanya ziara ya kutembelea majengo na maeneo ya kihistoria, seh...