Tarehe iliyowekwa: June 20th, 2019
Imeelezwa kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imetenga takriban Sh. 853 milioni ili kuwezesha vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye walemavu katika bajeti ya mwaka 2019/2020.
Hayo yameel...
Tarehe iliyowekwa: June 19th, 2019
Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 19 Juni, 2019 wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji wameadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kufanya usafi katika Kituo cha Mabasi Ubun...
Tarehe iliyowekwa: June 8th, 2019
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(UNEP), Chama cha Waendesha Baiskeli Tanzania na wadau mbalimbali wa mazingira leo Juni 8, 2019 katika ...