Tarehe iliyowekwa: June 6th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewataka mama wajawazito kuzingatia lishe bora kwani lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana kwa sababu humpatia mama virutubishi muhimu kulingana na ...
Tarehe iliyowekwa: June 4th, 2024
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wahimizwa kutumia nishati mbadala ya kupikia lengo likiwa ni kuunga Mkono Juhudi za Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya utunzaji w...
Tarehe iliyowekwa: June 5th, 2024
Wananchi wa DSM wamehimizwa kutumia nishati safi ili kutunza mazingira, Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila aliposhiriki Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ...