Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2023
Diwani wa Kata ya Gongolamboto Mhe. Lucas Rutainurwa leo Septemba 30, 2023 amefungua jengo la ofisi ya Serikali ya Mtaa Ulongoni-A lenye thamani ya shilingi milioni 19.4 fedha ya Mkuza wa bomba la ges...
Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2023
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amewataka watanzania kuwajibika kulipa kodi kwa kutoa na kudai risiti ya Mashine za Kieletroniki (EFD), ili kuhakikisha mapato ya nchi yanaongezek...
Tarehe iliyowekwa: September 27th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amezitaka shule zote za Msingi na Sekondari Mkoa wa Dar es Salaam kuanzisha klabu za kodi ili elimu ya kodi ianzie ngazi za chini.
Mhe. Mpogolo ametoa ra...