Tarehe iliyowekwa: April 29th, 2023
Katika kuendeleza Kampeni ya Usafi 'Safisha, Pendezesha Dar es Salaam' Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makalla leo tarehe 29 Aprili, 2023 ameshiriki zoezi la usafi katika kata ya Ilala ambapo u...
Tarehe iliyowekwa: April 25th, 2023
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria Nchini, hayo yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Jam...
Tarehe iliyowekwa: April 24th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo, amefanya uzinduzi wa Wiki ya Chanjo mapema leo katika Kituo cha Afya Kitunda kilichopo Kata ya Kitunda.
Uzinduzi huo uliofanyika leo ni wa chanjo ya pol...