Wednesday 3rd, December 2025
@Ukumbi wa Karimjee
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Ndg. Elihuruma Mabelya anawaalika Wananchi wote kwenye mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani utakaofanyika Disemba 04, 2025 katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es salaam kuanzia saa tatu asubuhi.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.