JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya JIji la Dar es Salaam

Wajumbe wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 27 Januari, 2017 wakiwa katika kikao cha baraza ili kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu matumizi ya fedha za mauzo ya hisa za Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam zilizokuwa katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA)