Tarehe iliyowekwa: June 12th, 2025
Na Mariam Muhando.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amesema wamefanya tafakuri ya mafanikio alioyafanya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hususani kwenye Sekta ya Elimu Sekondari ambapo...
Tarehe iliyowekwa: June 3rd, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Ndugu Ismail Ali Ussi, leo tarehe 3 Juni 2025 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Mzinga kilichopo Mtaa wa Magore, Kata ya Mzinga,...
Tarehe iliyowekwa: June 3rd, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Bw. Ismail Ali Ussi, leo amekagua mradi wa kikundi cha vijana cha Ulipo Tupo kilichopo Tabata, Jijini Dar es Salaam.
Kikundi hicho chenye wanachama...