Tarehe iliyowekwa: August 19th, 2025
Na: Aritha Mziray - Tanga
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imeendelea kutikisa katika michuano ya SHIMISEMITA 2025 baada ya kuichakaza Kinondoni MC katika mchezo wa kikapu (Basketball)
...
Tarehe iliyowekwa: August 19th, 2025
Na: Shalua Mpanda - Tanga
Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli imejikuta ikiangukia pua baada ya kuchapwa seti 2-0 na timu ya Dar City katika mchezo wa mpira wa wavu (Volleyball) upande wa wana...
Tarehe iliyowekwa: August 19th, 2025
Na: Shalua Mpanda
Timu ya mpira wa wavu (Volleyball) upande wa wanawake kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeendeleza ubabe kwa timu zinazoshiriki mashindano ya SHIMISEMITA mkoani Tanga k...