Tarehe iliyowekwa: September 19th, 2025
Kamati ya Chakula na Dawa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Mkurugenzi wa Jiji hilo Elihuruma Mabelya leo hii Septemba 19, 2025 imekutana na kufanya kikao chake cha kwanza ...
Tarehe iliyowekwa: September 18th, 2025
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii, imefanya mafunzo maalumu kwa vikundi vilivyoomba mikopo ya asilimia 10 ambavyo vinakumbwa na changamoto mbalimbali.
Mafunz...
Tarehe iliyowekwa: September 17th, 2025
Watumishi wa Halmashauri ya Bagamoyo wamevutiwa na mpangilio wa Soko la Kimataifa la Samaki Feri kwa kutenga maeneo kulingana na shughuli zinazofanyika ili kuhakikisha wanawajibika kusimamia ukusanyaj...