Mradi wa Redio ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inayopatikana katika masafa ya 91.7 Mhz FM Band unamilikiwa na Halmashauri ya Jiji kwa asilimia 100. Mradi huu ulianza kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2010/2011 kwa kuanza na ukarabati wa studio za redio zinazopatikana katika majengo ya Halmashauri Makao Makuu (City Hall) kona ya mitaa ya Edward Moringe Sokoine na barabara ya Morogoro.
Matangazo ya majaribio yalianza kurushwa tarehe 11 Septemba, 2013. Leseni ya Utangazaji (Radio Communication Station Licence) ilitolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) tarehe 9 Mei, 2014.
Halmashauri ya Jiji iliazimia kwamba hadi kufikia mwaka 2017 iwe imefanikiwa kuanzisha kituo cha redio ikiwa na malengo yafuatayo:
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.