Posted on: January 19th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewataka wafanyabiashara Kariakoo kuchangamkia fursa katika Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaotarajiwa kufanyika Januari 27 na 28 mwaka huu.
...
Posted on: January 16th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo akiwa ameambatana na Viongozi wa Dini pamoja na viongozi mbalimbali wameshiriki Katika kongamano maalum la maombi na Dua kwa madereva wa bodaboda na bajaji,...
Posted on: January 15th, 2025
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mhe. Jerry Silaa ameshiriki hafla ya utiaji saini wa mkataba wa pili wa ujenzi wa shule ya Sekondari Kipunguni iliyopo katika...