Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mwaka huu wa fedha imetenga fedha za ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Mbezi Luis kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Serikali za Mitaa (LAPF).
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na LAPF tayari imeanzisha kampuni ya ubia ya Mzizima Properties Limited itakayohusika na usimamizi na uendeshaji wa shughuli za kituo za kila siku.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.