Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wafanyabiashara wote kuwa kutakua na Zoezi la Uhuishaji wa Takwimu za Wafanyabiashara na Walipa Kodi wa Jiji la Dar es Salaam
Zoezi litafanyika kuanzia Tarehe 1 Septemba, 2023 mpaka Tarehe 14 Septemba, 2023
Wafanyabiashara wote mna wajibu wa kutoa ushirikiano na kutoa taarifa
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.