Maombi ya upangishaji wa maeneo ya biashara, uwekezaji na huduma mbalimbali katika Kituo Kikuu cha Mabasi ya Abiria yaendayo mikoani na nje ya nchi katika eneo la Mbezi Luis yanafanyika kwa njia ya mnada wa mtandao kuanzia tarehe 09 hadi 25 Novemba, 2020 kupitia anuani: pangisha.tamisemi.go.tz
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.