Wizara ya Fedha na Mpango wametoa portal rasmi ya kupata Hati ya Malipo ya Mshahara "Salary Slip" kwa njia ya mtandao "online" kwa watumishi wa umma
TAARIFA ZINAZOHITAJIKA
>Check number
>Majina yako matatu
>Tarehe ya kuzaliwa
>Vote (kwa mfano 8811)
>Subvote (kwa mfano 5004)
>Account namba ya Bank yako
>Salary Scale (utajaza TGTS, TGS, n.k)
>Salary Grade (utajaza B,C,D,E n.k
>Salary Step (utajaza 1,2,3 n.k
UKIFANIKIWA KUSAJILIWA UTAENDA UKURASA UNAOFUATA UKAJAZE
>Namba ya simu
>Barua pepe
>Nywila "Password"
UNAWEZA KUANZA KUITUMIA BAADA YA SAA 24
ZINGATIA YAFUATAYO:
Tembelea anuani "link" https://salaryslip.mof.go.tz ujisajili na kupata Hati ya Malipo ya Mshahara
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.