• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Ujenzi wa "High School" ya kisasa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam washika kasi

Posted on: September 27th, 2025

Unaweza kusema ni kama ndoto kwa wakazi wa kata ya Bonyokwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam mara baada ya kushuhudia ujenzi wa shule ya kisasa  ya kidato cha tano na cha sita ndani ya Halmashauri hii ukishika kasi.

Ujenzi huo wa shule ya ghorofa wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.7  unaojumuisha madarasa 53 na matundu ya vyoo 45 ambao mpaka sasa umefikia asilimia 52 unaelezwa na wakazi wa Kata hiyo kuwa mara baada ya kukamilika kwake utasaidia kupunguza adha ya watoto wao kufuata elimu mbali na eneo hilo.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikia kilio chao cha muda mrefu kuhusu kupatikana kwa shule ya aina hiyo katika kata yao.

'Hatuna la kusema kwa kweli huu ujenzi wa shule hii ulikuwa unatuumiza vichwa kuwa lini utakamilika, lakini sasa hivi ni kama tunaona ndoto tunavyoona mradi huu unavyoenda kwa kasi, tunamshukuru sana mama (Rais Dkt. Samia) ". Alisema Bi. Nasra Ayoub. 

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam Elihuruma Mabelya amesema ujenzi wa shule hiyo ya kisasa ambayo itakuwa na miundombinu rafiki kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu ikiwemo lifti umetekelezwa kwa makusanyo ya fedha za ndani za Halmashauri. 

Mradi huo unaotekelezwa na Mkandarasi kampuni ya Platnum Construction unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu ambapo kwa sasa umefikia hatua ya umaliziaji(finishing).

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 19, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS - MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II September 17, 2025
  • PRACTICAL INTERVIEW RESULTS - DEREVA DARAJA II September 15, 2025
  • PRACTICAL INTERVIEW RESULTS - MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II September 15, 2025
  • View All

Latest News

  • Taasisi ya CRDB Bank Foundation yakabidhi pikipiki na bajaji kwa vikundi vya wanawake na vijana

    October 04, 2025
  • Ujenzi wa "High School" ya kisasa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam washika kasi

    September 27, 2025
  • "Mkafanye suluhu kwa amani na haki" - DC Mpogolo

    September 26, 2025
  • Mkurugenzi Jiji la DSM aahidi kuchangia ujenzi Shule ya Sekondari Jitegemee

    September 26, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.