Ili upate kibali cha miezi 6 au mwaka 1 kuingia/kuegesha katikati ya Jiji (CBD) kwa pikipiki za magurudumu mawili/matatu unapaswa kuwa na viambatisho vifuatavyo:
KAMPUNI – BARUA ZA MAOMBI
MTU BINAFSI – BARUA YA MAOMBI
Gharama za kibali kwa miezi 6 ni Sh. 100,000 na Sh. 180,000 kwa mwaka 1
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.