Halmashauri ya Jiji inamiliki jumla ya hisa 474,446.74 zenye thamani ya shilingi 225,599,424.87 kwa bei ya Sh.475.50. Thamani ya hisa/kipande. Kitega uchumi hiki kina tija kwa Halmashauri ya Jiji kutokana na ongezeko la thamani ya vipande kwa kila mwaka.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.