Wednesday 22nd, January 2025
@Ukumbi wa Karimjee
Wananchi wote wa Jiji la Dar es Salaam mnaalikwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wa robo ya tatu ya mwaka, mwezi Januari hadi Machi, 2017 na kupitia taarifa za miradi ya maendeleo katika kipindi husika.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.