Sunday 22nd, December 2024
@Uwanja wa Jamhuri
Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuapishwa tarehe 05 Novemba, 2020 jijini Dodoma baada ya kushinda uchaguzi wa Urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 ambapo Dkt. Magufuli alishinda kwa kupata kura 12,516,252 sawa na asilimia 84.4 ya kura zote zilizopigwa.
Hii itakuwa mara ya kwanza nchini Rais kuapishwa nje ya Jiji la Dar es Salaam na kwa mara ya kwanza Rais kuapishwa jijini Dodoma yalipo Makao Makuu ya nchi.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.