Sunday 22nd, December 2024
@Viwanja vya Aman. Zanzibar
Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar inasherehekewa kila tarehe 12 Januari ambapo watu wa Zanzibar waliupindua utawala wa Sultan. Mwaka 1963, Visiwa vya Zanzibar vilipewa uhuru na Uingereza, mwezi Julai 1963, Serikali ya Sultani ilifanya uchaguzi wa wabunge na matokeo kuwa Waarabu waliopata wingi wa kura wa wastani walibaki madarakani na kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya nje ya Oman ingawa walishinda 54% ya kura.
Tukio hilo lilichochea Waafrika wengi kutanzua tatizo hilo. Vyama viwili vya Waafrika vya Afro Shirazi Party (ASP) viliungana na Umma Party kuongeza nguvu na tarehe 12 Januari, 1964 ASP ikiongozwa na John Okello, ilihamasisha wanamapinduzi wapatao 600 kuingia mji wa Zanzibar (Unguja) na kupindua Serikali ya Sultani.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.