Sunday 22nd, December 2024
@Viwanja vya Karimjee
Tarehe 15 Septemba, 2018 Tanzania itaungana na nchi 150 katika kuadhimisha siku ya Usafi Duniani kwa lengo la kupinga tatizo la uchafu duniani na kuondoa uchafu. Jambo kama hili halijawahi kufanyika kwa kiwango hiki.
Lengo la Tanzania: Kushirikisha watu milioni 1.1 (5% ya idadi ya watu wenye umri wa kufanya kazi) katika kusafisha maeneo yaliyokithiri kwa uchafu Tanzania na kuondoa tani 16,500 za uchafu unaotupwa kinyume cha sheria.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.