• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

CPA Makalla aridhishwa na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na Jiji la DSM

Posted on: July 8th, 2024

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, CPA Amos Makalla, ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

CPA Makalla amebainisha hayo leo Julai 8, 2024 Jijini Dar es Salaam, akiendelea na ziara yake katika  Jimbo la Segerea ambapo alitembelea mradi wa ujenzi wa ghorofa 20 Shule ya Sekondari Minazi Mirefu wenye thamani ya shilingi bilioni 1.79 pamoja na Mradi wa Kituo cha Afya Kinyerezi chenye thamani ya shilingi milioni 500.

Akiwa kwenye ziara hiyo, CPA Makalla Ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa utekelezaji mzuri wa miradi kwani thamani ya fedha inaonekana na miradi imetekelezwa kwa kiwango cha juu.

“Niwapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Jiji kwa utekelezaji wa miradi kwani Jitihada za Serikali za kuboresha huduma kwa wananchi zinaonekana pia mmeweza kutekeleza miradi hii kwa kutumia fedha za mapato ya ndani na nyingine za Serikali kuu hizi ni jitihada nzuri mnazozifanya za kuendelea kuboresha huduma za afya na Elimu kwa Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam."

Sambamba na hilo, CPA Makalla amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha sekta za Elimu na Afya zinaboreshwa na huduma zinawafikia wananchi kwa Wakati huku akiwataka  Waganga Wafawidhi kuhakikisha huduma zinaboreshwa kwa Wananchi kwa kuwatia moyo na kuhakikisha majengo  mazuri yananendana na huduma bora.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo ameeleza kuwa  “Tunatoa Shukrani zetu kwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha huduma za elimu na afya katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwani fedha nyingi zimekua zikiletwa kwaajili ya kuboresha miundombinu ya afya na elimu lengo likiwa ni kuhakikisha sekta hizo zinakua imara na wanachi wanapata huduma bora na kwa wakati."

Aidha, Mhe. Mpogolo ameendelea kusema Serikali imeendelea kuwekeza katika sekta ya Elimu na Afya kwani katika Jiji la Dar es Salaam Shule za ghorofa zaidi ya 8 zinaendelea kujengwa zikiwa katika hatua mbalimbali hii itasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani na kuongeza ufaulu zaidi.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.