• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

DC Ilala afungua mashindano ya UMISSETA 2022 ngazi ya Wilaya

Posted on: June 10th, 2022


Na: Hashim Jumbe, Judith Damas  

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija, leo tarehe 10 Juni, 2022 amefungua Mashindano ya Umoja wa Michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) ufunguzi uliofanyika kwenye Viwanja vya Ukonga Magereza.   

Mashindano hayo yaliyoanzia kwa kushindanisha wanafunzi kuanzia timu za madarasa, shule, kata na kutengeneza timu za majimbo matatu, ambayo ni Jimbo la Ukonga, Jimbo la Segerea na Jimbo la Ilala, yanajumusha michezo kama vile mpira wa miguu, mpira wa wavu, mpira wa kikapu, mpira wa mikono, mpira wa pete, riadha na fani za ndani  

Akizungumza katika ufunguzi wa mashindano hayo Afisa Michezo kutoka Idara ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Jiji la Dar es Saalam, Bibi Minja ameeleza kuwa kuelekea fainali za UMISSETA zitakazofanyika Agosti,  2022 Mkoani Tabora, timu ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imewaandaa vizuri wanafunzi kushiriki katika mashindano lengo likiwa ni kuhakikisha wanapeleka wanafunzi wengi ngazi ya Mkoa ili  kuunda timu bora ya Mkoa wa Dar es Salaam.  

Aidha Bibi Minja alieleza kuwa "tofauti na changamoto za kiufundi na kifedha zinazotukabili lakini pia tumeweza kupambana kuhakikisha wanafunzi wetu  wanafanya vizuri kwani mwaka 2021 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tuliibuka washindi wa kwanza Kimkoa katika mashindano haya ya UMISSETA hivyo nipende kumshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuwapa ridhaa ya kushiriki katika mashindano ya UMISSETA pamoja na kuwekeza fedha kwa ajili ya kukamilisha mashindano haya.  

Akifungua mashindano hayo ya UMISSETA ngazi ya Wilaya Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mheshimiwa Ngw'ilabuzu Ludigija amewaasa wanafunzi kutia nia na juhudi katika michezo hiyo kwani michezo ni afya na ajira kwani mashindano haya ni msingi wa vipaji vijavyo katika Taifa letu la Tanzania. "Lengo la michezo hii ni kupata vijana wenye vipaji ambapo kama Taifa tunataka tuendeleze vipaji hivi na baadae tuwe na timu imara na kama ikiwezekana tushiriki katika mashindano mbalimbali ya AFCON na World Cup kama ilivyofanyika kwa dada zetu Serengeti Girls ambao wameweza kufuzu mashindano ya World Cup hivyo sisi tuliochaguliwa tujiandae tuongeze bidii na juhudi ili tusijinyime fursa ya ajira kwani hapa ndio tunapoonesha vipaji vyetu." ameeleza Mheshimiwa Ludigija.  

Sambamba na hilo Mheshimiwa Ludigija amewataka wanafunzi hao wacheze kiufundi na kiustarabu ili wasije wakaumizana kwani baada ya michezo hii  wanatakiwa kurudi shule na kuendelea na masomo. "Lengo letu ni kuibua vipaji kwa vijana wetu hivyo nawaasa mkicheza mhakikishe mnacheza kiufundi na kiustarabu isije ikatokea kuumizana kwani baada ya mashindano haya mnatakiwa kuendelea na masomo kwani michezo ni mojawapo ya kuifanya akili yako kuwa imara  kwahiyo baada ya hapa watakaochaguliwa inabidi mkaoneshe ujuzi wenu na wale itakaotokea mmebaki msikate tamaa mrudi shule na msome kwa bidii kwani michezo na elimu ni vitu vinavyoendana

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.