• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Kamati ya Fedha na Utawala yafanya ziara ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa na halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kipindi cha Robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai - Septemba 2023)

Posted on: October 27th, 2023

Kamati ya Fedha na Utawala Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa na Halmashauri hiyo kwa kipindi cha Robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai hadi Septemba 2023) ambapo leo tarehe 27 Oktoba, 2023 imetembelea miradi minne (4) ikiwemo ujenzi wa matundu ya vyoo Shule ya Sekondari Kerezange, ujenzi wa majengo mapy matano katika Hospitali ya Wilaya Kivule, Ujenzi wa vyumba nae(8) vya madarasa Shule Mpya ya Sekondari Mvuti pamoja na ujenzi wa vyumba viwili (2) vya madarasa Shule ya Msingi Tungini.

Aidha, ujenzi wa Matundu ya vyoo Shule ya Sekondari Kerezange utekelezaji wa mradi uko hatua ya maandalizi na utagharimu shilingi milioni 40 pindi utakapokamilika , ukamilishaji wa ujenzi wa jengo la Wodi 2 za wanaume na wanawake hospitali ya Wilaya Kivule uliogharimu shilingi milioni 200 ujenzi unaendeleaje huku ujenzi wa mfumo wa maji taka uliogharimu shilingi 100 ujenzi ukiwa umekamilika, katika ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Mvuti shilingi milioni 528.9 fedha kutoka mradi wa SEQUIP ujenzi uko kwenye hatua ya ukamilishaji wa miundombinu kwenye vyumba vya madarasa, jengo la Utawala, Maabara na Maktaba huku ujenzi vyumba viwili vya Madarasa katika Shule ya Msingi Tungini uliogharimu shilingi milioni 40 fedha kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ujenzi umekamilika.

Akizungumza kwenye ziara hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Utawala Mhe. Nyansika Getama amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam fedha kwaajili ya ukamilishaji na uboreshaji wa miundombinu katika Hospitali ya Wilaya Kivule pamoja na ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Mvuti ambazo zitarahisisha upatikanaji wa huduma za jamii kwa wananchi wa maeneo ya mbali.

Naye, Mkuu wa Shule ya Msingi Tungini Mwl.  Christopher Mwing'a ameeleza kuwa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa Shule ya Msingi Tungini imesaidia kupunguza msongamano wa  wanafunzi wakati wa kusoma huku akimshukuru Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kwa kutoa shilingi milioni 40 fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri zilizokamilisha madarasa hayo na mpaka sasa wanafunzi wanasema bila msongamano wowote.

Katika hatua nyingine Kamati hiyo imewataka Wahandisi wa Halmashauri wanaosimamia miradi kuhakikisha miradi inatekelezwa kulingana na makisio ya gharama za ujenzi (BoQ) inavyoelekeza lengo likiwa ni kufanya kazi kwa usanifu na umakini mkubwa,  pia kamati imeagiza Wakandarasi kumaliza Miradi ndani ya muda uliopangwa na kwa usahihi huku ikitoa angalizo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kushirikiana na wataalamu wa ujenzi kuhakikisha wanatatua changamoto zilizojitokeza katika miradi hiyo kwani ubora wa miradi hiyo itasaidia idumu kwa muda mrefu na   kuwapunguzia Wananchi wa maeneo ya jirani adha ya kwenda umbali mrefu kufuata huduma hizo za kijamii.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.