• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Kamati ya Siasa Ilala wapanda Miti kuelekea kilele cha maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru

Posted on: December 2nd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ngwilabuzu Ludigija leo tarehe 2 Disemba 2022 akiwa pamoja na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ndg. Saidi Side na Kamati ya Siasa wamefanya zoezi la upandaji wa miti katika maeneo ya Gereza la Segerea na Ukonga ikiwa ni sehemu  ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru kila Wilaya iadhimishe kwa kufanya mambo mbalimbali na kuelezea mafanikio ambayo Wilaya husika wameyafikia.

Kuelekea siku hiyo Mhe. Ludigija amesema "Kilele cha Siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania yatafanyika Tarehe 9 Disemba 2022 na sisi kama Wilaya tutafanya mdaharo wa kujadili mafanikio ambayo wilaya yetu imeyafikia toka Nchi yetu ipate uhuru.

Kwa wilaya ya Ilala inampango wa kufanya shughuli nyingi za kijamii ambazo zitaleta tija kwa wananchi na jamii kwa ujumla ikiwemo usafi, mazingira, na kila idara yetu itafanya jambo ambalo kwa pamoja litafanikisha zoezi hili na malengo yetu mwaka 2022 ni kupanda miti Milioni 1 na laki tano  (Milioni 1.5) na tayari maeneo mengi miti imepandwa.

Leo tumekuja hapa na kamati ya siasa ya Ilala lengo letu kubwa kuelekea maadhimisho ya sherehe za Maadhisho ya Uhuru kufanya kazi za kijamii ikiwemo kupanda Miti naomba wananchi watuunge mkono katika zoezi hili la upandaji wa miti ili kulinda mazingira pamoja na miti hii pia ni chanzo cha Mvua" alimalizia Mhe. Ludigija 

Pia mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilala Ndugu Saidi Side ambaye akiambatanana kamati ya siasa ya wilaya amesema "Nafarijika na kuwapongeza magereza ya Segerea na Ukonga kwa kutupatia nafasi hii muhimu ya kupanda miti katika maeneo haya,hii miti ikiwa yakutosha itafanya maboresho kutokana na msongamano wa watu maeneo yetu ya Wilaya ya Ilala watu wanahitaji hewa safi eneo letu lina Msitu wa Nyuki lakini upandaji huu wa miti utaenda kutekeleza hilo"

Kamati ya Siasa ikiwa katika kutekeleza agizo hili na kuweza kutembelea maeneo mengine mbalimbali ili kujionea utekelezwaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi katika wilaya ya Ilala kuangalia namna kazi na miradi mbalimbali inatekelezwa kwa ufanisi.

Mratibu Mwandamizi wa Magereza, Gereza la Mahabusu Segerea Hamisi Lisu amesema "Tunashukuru sana ujio wenu kwa kuchagua eneo hili kuwa eneo moja wapo la maadhimisho kwa upandaji wa Miti tunawaahidi miti hii tutaitunza na kuikuza tunawakaribisha tena siku nyingine kuja kuona miti hii".

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.