• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Uzinduzi wa Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora

Posted on: August 16th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo tarehe 16 Agosti, 2017 amezindua Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora katika Jiji la Dar es Salaam na kuukabidhi kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala. 

Mradi huo ambao umefadhiliwa na Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Kimataifa la Maendeleo "Japan International Cooperation Agency (JICA)" umeratibiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala pamoja na JICA.

Mradi huo ambao ulianza kutekelezwa mwezi Desemba, 2016 na kukamilika mwezi Agosti, 2017 ulikuwa na madhumuni ya kuboresha miundombinu itakayosaidia kuimarisha usalama barabarani, kuwa na eneo bora la wananchi, wageni na watalii kupumzikia. Aidha, mradi huo ulikuwa na madhumini pia ya kuboresha maeneo ya maegesho ya magari, bustani na kuimarisha utunzaji wa mazingira katika maeneo ya Barabara ya Samora.

Mradi huo umekuwa ni mfano (Pilot Project) kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya mitaa mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam ambapo wataalam wa JICA na taasisi zinazosimamia na kuratibu usafiri jijini Dar es Salaam wameandaa kitabu cha mwongozo wa maboresho ya mitaa katika Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam - Urban Design Manual) kitakacholiwezesha Jiji kuwa na miundombinu bora zaidi ya usafiri. 

Jiji la Dar es Salaam litaendelea kutekeleza miradi ya aina hiyo katika maeneo mbalimbali ya Jiji kwa kushirikiana na wadau mbalimbali pamoja na wafadhili kama JICA.

Bonyeza hapa kuangalia picha zaidi za uzinduzi wa Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.