• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Baraza la Madiwani Jiji la Dar es Salaam lapitisha Bajeti ya Bilioni 45.1 kwa mwaka 2019/2020

Posted on: February 20th, 2019

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita leo tarehe 20 Februari, 2019 amewasilisha mpango na bajeti ya mwaka 2019/2020 wa jumla ya shilingi bilioni 45.1 ikiwa ni bajeti ya mishahara ya watumishi, matumizi ya kawaida na za utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.

Mpango na bajeti hiyo umepitishwa kwa kauli moja na wajumbe wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kutaka kufikiria katika uwekezaji wa miradi mikubwa ili kufanana na majiji mengine duniani yenye ukubwa kama Jiji la Dar es Salaam.

Bajeti ya Halmashauri ya Jiji katika mwaka 2019/2020 imeandaliwa kwa kuzingatia Mwongozo wa bajeti wa mwaka 2019/2020, Dira ya Maendeleo 2025, Malengo endelevu ya Millenia, Sheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015, Mpango wa maendeleo wa miaka mitano, Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala ya Mwaka 2015 na Maelekezo na Miongozo mingine kama ilivyotolewa na Serikali.

Akizungumzia  mpango na bajeti hiyo kwa wakazi na wadau mbalimbali wa Jiji waliohudhuria Mkutano wa Baraza, Meya Mwita amesema kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imekadiria kukusanya na kutumia kiasi cha shilingi bilioni 45.1 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo kutoka mbalimbali vya mapato. Kati ya fedha hizo shilingi bilioni 9 zinatarajiwa kukusanywa kutoka kwenye vyanzo vya mapato ya ndani vya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Aidha amefafanua kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeendelea kuboresha ukusanyaji mapato yake ya ndani pamoja na kubuni vyanzo vingine vya mapato.

Amefafanua kuwa mpango na bajeti ya mwaka 2019/2020 umelenga kutekelaza mradi wa Kimkakati wa ujenzi wa Kituo Kikuu kipya cha Mabasi cha Mbezi Luis, kuboresha miundombinu ya Dampo, ujenzi wa vyoo vya Umma na kuhakikisha utoaji wa huduma unaoepusha usumbufu kwa jamii.

Amesema Halmashauri pia imepanga kutumia asilimia 60 ya mapato ya ndani sawa na shilingi bilioni 4.7 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na shilingi milioni 797 kwa ajili ya mfuko wa wanawake, vijana na walemavu.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.