• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Baraza la Madiwani Jiji la DSM lajadili na kupitisha taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Aprili hadi Juni 2022

Posted on: September 7th, 2022

Na: Muandishi wetu

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 07 Septemba, 2022 limefanya kikao chake cha kawaida cha kupitisha taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha robo ya nne ya mwaka wa fedha 2021/2022 iliyoanza Aprili na kuisha Juni 2022.

Kikao hicho kilichoongozwa na Mstahiki Meya, Mhe. Omary Kumbilamoto kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Arnatouglou kilianza na ajenda ya maswali ya papo kwa papo ambapo madiwani wametaka kutambua ni lini Halmashauri itaweka mkakati mzuri wa kuwaondoa wamachinga pembezoni mwa barabara kwani inaonekana wamachinga hao wamerudi katika maeneo waliyoondolewa.

Akijibu swali hilo, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Tabu Shaibu amesema “tayari Halmashauri imefanya tathmini na wametafuta kampuni binafsi ambayo itasimamia zoezi hilo”.

Mbali na ajenda hiyo, hoja nyengine iliyojadiliwa ni kuhusu chanjo ya mifugo, ukarabati wa barabara ya kuingia machinjio na Halmashauri kuichukua timu ya mpira ya Dar City.

Aidha, ajenda nyingine ni uwasilishaji wa taarifa za utendaji kazi wa kamati za kudumu za Halmashauri ambazo ni kamati ya fedha na utawala, uchumi na huduma za jamii, mipango miji na mazingira na kamati ya kudhibiti UKIMWI, ambapo Baraza la Madiwani lilijadili na kupitisha taarifa hizo za robo ya nne ya mwaka wa fedha 2021/2022 iliyoanzia Aprili hadi Juni, 2022.

Naye, Meneja wa TARURA, Injinia Sylivester Chinengo akizungumza wakati wa kikao hicho cha Baraza la Madiwani alielezea juu ya ukarabati unaofanywa wa baadhi ya barabara zilizopo ndani ya Jiji la Dar es Salaam ambapo pia amemshukuru  Mkurugenzi wa Jiji kwa ajili ya kiasi cha shilingi bilioni 6.22 zilizotengwawa kufanikisha ukarabati wa barabara hizo “Kwa niaba ya TARURA naomba kumshukuru Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kwa kutuunga mkono katika kukarabati barabara zetu, kiasi hiki ni kikubwa na kitatusaidia kutoka hatua moja kwenda nyingine.” Amesema Chinengo.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.