• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Dar City yaibuka kinara mashindano ya Kwaya SHIMISEMITA 2025

Posted on: August 25th, 2025

Kwaya ya Dar City imefanikiwa kuibuka kinara katika mashindano ya kwaya yaliyofanyika usiku wa kuamkia Agosti 26, 2025 katika Ukumbi wa Police Mess hapa Jijini Tanga ambapo mashindano ya SHIMISEMITA 2025 yanaendelea.

Jumla ya kwaya 21 zilishiriki katika mashindano hayo ambapo kwaya ya Dar City iliibuka kidedea kutokana na kuwa na  kuonesha upekee wa sauti, mpangilio wa nyimbo na ubunifu wa hali ya juu huku wakiibua shangwe yenye hisia kali miongoni mwa mashabiki na watazamaji waliojitokeza.

Aidha, mbali na ubora wa uimbaji kwaya ya Dar City imeonesha umahiri wa uvaaji baada ya kuwa na muonekano mzuri kwani kwaya nzima ilikuwa imevaa sare ya suti ambayo ilichagiza muonekano mzuri wa utanashati pamoja na kuvutia hadhira.

Kwa matokeo hayo, Dar City inaendelea kubaki kileleni kama kwaya inayoongoza kwa ubora na inaendelea kuandika historia mpya ndani ya mashindano ya SHIMISEMITA, ikiendelea kuweka alama ya kumbukumbu kwa mashabiki wake na kwa tasnia ya kwaya nchini.

Mashindano ya SHIMISEMITA 2025 bado yanaendelea katika Jiji la Tanga ambapo Agosti 29,2025 inatarajiwa kuwa kilele cha mashindano haya huku tayari Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa na mwendelezo mzuri wa ushiriki hadi sasa ambapo imefanikiwa kufika kwenye hatua za mtoano kwa baadhi ya michezo.

Katika mashindano haya ya SHIMISEMITA 2025 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeendelea kuunga mkono kauli mbiu ya Mashindano  ya mwaka huu ambayo inasema "Jitokeze Kupiga Kura kwa Maendeleo ya Michezo".

Announcements

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2025 July 08, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA February 28, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • Dar City yaendeleza ubabe SHIMISEMITA, yatinga fainali Volleyball (KE)

    August 27, 2025
  • Dar City yaibuka kinara mashindano ya Kwaya SHIMISEMITA 2025

    August 25, 2025
  • Wanamichezo SHIMISEMITA watakiwa kutumia michezo kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura

    August 23, 2025
  • Dar City tu yang'ara mbio za vijiti, yachukua nafasi yakwanza

    August 23, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.