Na: Aritha Mziray -Tanga
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imeendelea kutoa kichapo katika michuano ya SHIMISEMITA 2025 baada ya kuichakaza Ikungi DC katika mpira wa pete(Netball)
Katika michuano hiyo, Halmashauri ya jiji la dar es salaam ilipata ushindi wa mpira wa pete (7/16-2/7)dhidi ya Ikungi DC, ikiwa ni ushindi wa kwanza wa mpira wa pete katika michuano hii.
Michezo hiyo inaendelea katika viwanja vya bandari ,Jijini Tanga, ambapo Dar city inaendelea kuonyesha ukali katika awamu ya awali katika mashindano hayo
Mashindano hayo yanayoshirikisha halmashauri zote nchini yenye kauli mbiu "Jitokeze Kupiga Kura kwa Maendeleo ya Michezo" yameanza rasmi Agosti 15 na yanatarajiwa kukamilika Agosti 29 mwaka huu.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.