• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

DC Mpogolo akabidhi vifaa saidizi kwa walimu na wanafunzi wenye mahitaji maalum

Posted on: February 1st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo leo Februari Mosi, 2024 amekabidhi vifaa saidizi kwa walimu na wanafunzi wenye mahitaji maalumu ili viwasaidie katika utendaji kazi pamoja na kuchochea maendeleo ya Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika ufaulu pamoja na kuimarisha Sekta ya Elimu Maalumu kwa ujumla ndani ya Jiji la Dar es Salaam.

Akiongea kwenye hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi Uhuru Wasichana, Mhe. Mpogolo ameishukuru Benki ya NMB kwa msaada wa vifaa hivyo na kusema lengo la Serikali ni kuhakikisha watoto wote wanapata elimu iliyokusudiwa pamoja na kuweka usawa kwa makundi yote ya kijamii katika ngazi zote.

"Tunawashukuru sana Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuboresha elimu nchini. Vifaa hivi vitaenda kuimarisha ujifunzaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu na kuondoa vikwazo vilivyokua vinasababisha wanafunzi kushindwa kuhudhuria masomo wakati wote."

Naye Afisa Elimu Sekondari Mwl. Mussa Ally akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi wa Jiji, amesema Halmashauri ya Jiji la DSM itaendelea kuweka mkazo kwenye elimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa kuboresha miundombinu mashuleni pamoja na kununua vifaa saidizi kwa lengo la kukabiliana na vikwazo dhidi ya uwepo ushiriki na ujifunzaji kwa wanafunzi hao.

Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na fimbo nyeupe sitini (60) kwaajili ya wasioona, lensi sitini (60) kwaajili ya wenye uoni hafifu, kofia sitini (60) na mafuta chupa sitini (60) kwa wenye ulemavu wa ngozi na vifaa hivyo vitagawiwa kwa walimu na wanafunzi wenye ulemavu wa shule za msingi na sekondari.


Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.