• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Demeter Financial & Insurance Services na Lions Club of DSM wakabidhi madawati 108 kwa Shule ya Msingi Yongwe

Posted on: December 22nd, 2022

Wafadhili kutoka Demeter Financial & Insurance Services na Lions Club of DSM leo tarehe 22 Desemba, 2022 wametoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Yongwe iliyopo Kata ya Chanika ikiwa ni sehemu ya mchango wa wadau wa elimu kuhakikisha elimu kwa watu wote linatimia.

Akiongea katika hafla hiyo Muwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Tabu Shaibu aliwashukuru na kuwaahidi kuendelea kushirikiana na wadau hao.

“Halmashauri iko tayari kushirikiana na wadau wa maendeleo na nitahakikisha kuwa yote ambayo ni muhimu zaidi yatatekelezwa kwa wakati.

Nawashukuru sana wadau kwa kuweza kuwa sehemu ya kuipeleka mbele elimu. Demeter mmetoa madawati 53 na Lions Club mmetoa mawadati 55 ambayo yataenda kuwasaidia wanafunzi hawa moja kwa moja. Kwa hakika nyie ni marafiki wa kweli wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hatuwezi kuwalipa” alimalizia Bi. Tabu Shaibu

Akiongea kwa niaba ya wadau hao Mkurugenzi Mtendaji wa Demeter Financial & Insurance Services Ndg. Adarsh Sharma amesema “Nina furaha sana kuwa hapa na kutoa madawati kwa ajili ya wanafunzi na naahaidi kuwa tutaendelea pamoja na mpaka mwisho na naitakia  kila la kheri shule na wanafunzi”

Nae Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Yongwe Mwl. John Sendeu amesema “Tunashukuru sana Mkurugenzi na tunafuraha na ujio wako katika hadhira hii  leo tunafuraha kupata madawati haya 108 kwa kiwango kikubwa tumepunguza sana uhitaji wa madawati katika shule hii ya Yongwe yenye jumla ya wanafunzi 1511.

Pia tunaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya miaka hii miwili Mhe. Dkt. Samia Suluhu ametujengea  matundu  ya vyoo 10  na kwa sasa pia tunaendelea na ujenzi mwingine wa matundu 10 ya choo.” Alimalizia Mwl. Sendeu

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.