• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Halmashauri ya Jiji la DSM yaiduwaza Njombe mpira wa wavu (volleyball)

Posted on: August 18th, 2025

Na: Aritha Mziray - Tanga

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeibamiza Halmashauri ya wilaya ya njombe kwa seti 2-0 (12-25 na 25-15) katika mchezo wa mpira wa wavu(volleyball) uliofanyika katika viwanja vya Shule ya sekondari Tanga (Tanga  Tech) kwenye mashindano ya SHIMISEMITA yanayoendelea mkoani Tanga.

Mchezo huo wa vuta ni kuvute ulioshudia seti ya kwanza iliyokuwa na msisimko wa aina yake baada ya timu zote mbili kuoneshana uwezo ambapo mpaka seti hiyo inaisha Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ilikuwa inaongoza kwa 25-12.

Seti ya pili timu ya Jiji la Dar es salaam maarufu kama "Dar City'' ilirudi kivingine na kufanya mpaka mwisho wa mchezo huo ubao usome seti 2-0

Michezo ya SHIMISEMITA inajumuisha michezo mbalimbali ambayo husimamiwa na Shirikisho la Michezo la Halmashauri kwa Serikali za Mitaa na kwa mwaka huu inafanyika katika mkoa wa Tanga.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 19, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS - MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II September 17, 2025
  • PRACTICAL INTERVIEW RESULTS - DEREVA DARAJA II September 15, 2025
  • PRACTICAL INTERVIEW RESULTS - MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II September 15, 2025
  • View All

Latest News

  • Taasisi ya CRDB Bank Foundation yakabidhi pikipiki na bajaji kwa vikundi vya wanawake na vijana

    October 04, 2025
  • Ujenzi wa "High School" ya kisasa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam washika kasi

    September 27, 2025
  • "Mkafanye suluhu kwa amani na haki" - DC Mpogolo

    September 26, 2025
  • Mkurugenzi Jiji la DSM aahidi kuchangia ujenzi Shule ya Sekondari Jitegemee

    September 26, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.