Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 18 Aprili, 2023 imepokea mashine mia nne [400] za ukusanyaji wa mapato 'POS Machines' kutoka kampuni ya SSV Global Solutions ambazo zitawawezesha kuendelea kukusanya mapato ya Halmashauri kwa ufanisi.
Mashine hizo zitaunganishwa na Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Ukusanyaji Ushuru wa Maegesho ya Vyombo vya Usafiri (TeRMIS), Mfumo wa Ukusanyanji wa Mapato Serikali za Mitaa (TAUSI), pamoja na mfumo wa LGRCIS.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.