Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam yaweka mikakati madhubutu ya kushinda Mashindano Ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania ( UMITASHUMTA) Yaliyoanza April 29, 2025 kwa ngazi ya Kata, hayo yamebainishwa na mratibu wa Michezo ya UMITASHUMTA Jiji la Dar es Salaam Mwl. Charles Ndilime wakati wakiendelea na mazoezi ya kujifua kisawasawa kwaajili ya mashindano hayo kwenya viwanja vya Shule ya Msingi Nguvu Mpya iliyopo Chanika.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.