• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Jiji la DSM Laweka Mikakati ya Kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

Posted on: May 21st, 2024

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam yaweka mikakati madhubuti ya kushinda Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA)  yanayotarajiwa kuanza Mei 27, 2024 Dar es Salaam kwa ngazi ya Mkoa , hayo ameyabainisha leo na  Mratibu wa Michezo UMITASHUMTA Jiji la Dar es Salaam Mwl. Charles Ndilime wakati wakiendelea na mazoezi ya kujifua kisawasawa kwaajili ya mashindano hayo kwenye kambi ya Chuo cha Urekebishaji Tabia, Ukonga Jijini Dar es Salaam.

Aidha Mwl. Ndilime ameeleza kuwa  “Baada ya kumaliza mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya klasta tumetengeneza timu ya Wilaya ya Ilala ambayo ina siku nne kambini kwaajili ya kujiandaa na mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa yanayoyotarajiwa kuanza Mei 27, 2024 katika viwanja vya Chuo cha Ualimu DUCE pamoja na Shule ya Sekondari Jitegemee hivyo niwahakikishie tutarudi na ushindi mnono na matarajio yetu ni kurudisha tena kombe la jumla ambalo tumeshachukua mara tano mfululizo kwani vijana wetu wana morali na tunaamini hawatatuangusha".

Sambamba na hilo Mwl. Ndilime ameeleza kuwa michezo inayoshindaniwa ni pamoja na mpira wa miguu kwa wasichana na wavulana, mpira wa pete, Mpira wa kengele kwa wasichana na wavulana, Mpira wa wavu kwa wasichana na wavulana, mpira wa mikono kwa wasichana na wavulana, Riadha pamoja na Fani za ndani (kwaya, ngoma, na muziki) ambapo Jumla ya wanamichezo ni 120, na kati ya hao Wavulana ni 63 na Wasichana ni 57.

Aidha, Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza Mei 27 -30, 2024 kwa ngazi ya Mkoa sambamba na kauli mbiu isemayo ‘Miaka 60 ya UMITASHUMTA tunajivunia mafanikio katika sekta ya Elimu, michezo na sanaa, Hima Mtanzania shiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.’






Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.