• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Jiji, Wadau Wajadiliana Matumizi ya Kituo Kipya cha Mabasi cha Mbezi Luis

Posted on: October 22nd, 2020

Wadau kutoka kada mbalimbali leo tarehe 22 Oktoba, 2020 wamekutana jijini Dar es Salaam kujadiliana matumizi ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Mbezi Luis ambacho ujenzi wake umefikia zaidi ya asilimia 85.

Akisoma hotuba ya ufunguzi mbele ya wadau hao Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Sipora Liana amesema lengo la kikao hicho na wadau ni kujenga uelewa wa pamoja kuhusiana na uboreshaji wa huduma ya usafiri na usafirishaji jijini Dar es Salaam hasa kwa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.

Mkurugenzi Sipora aliendendelea kufafanua kwamba, kupitia kikao hicho watapata fursa ya kusikia maoni, ushauri na mapendekezo kutoka kwa wafanyabiashara, wadau mbalimbali wa usafiri na usafirishaji na kwa pamoja wataweza kufikia lengo la utoaji wa huduma zenye ubora kwa mpangilio na utaratibu shirikishi ili kutengeneza mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na watoa huduma  kufanya shughuli zao katika kituo hicho cha mabasi.

“Kituo kipya cha mabasi cha Mbezi Luis kitawezesha utoaji wa huduma bora ya usafiri na usafirishaji kwa wananchi na wageni pamoja na kutoa fursa za biashara kwa wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo, baba na mama lishe ikiwa ni pamoja na kuongeza mapato ya Serikali”, Alieleza Mkurugenzi wa Jiji.

Wadau mbalimbali waliohudhuria majadiliano hayo kwa pamoja wamepongeza jitihada za uboreshaji wa miundombinu ya utoaji huduma mbalimbali zinazotekelezwa pote nchini na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.