• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Ilala yaipongeza Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kuweka mikakati mizuri ya kulinda haki za Watoto

Posted on: January 23rd, 2023

Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Ilala imeupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii pamoja Ustawi wa Jamii kwa kuweka mikakati mizuri ya kulinda haki za Watoto pamoja na kufuatilia tabia na mkuzi yaliyo bora Kwa Watoto.

Akizungumza Wakati wa Ziara iliyofanywa na Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo Katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala Ndg. Mtiti Mbasa amesema kuwa wamefanya ziara hiyo kwa lengo la kuweka uelewa wa pamoja kwakua Jumuiya ya Wazazi ndio imebeba dhima ya kusimamia malezi, elimu, mazingira, afya na utamaduni na kwamba kupitia ziara hiyo wamepata ufahamu wa kutosha na kuahidi kuwa mabalozi wa kufikisha Ujumbe Kwa wanachama walio ngazi za Matawi na Wananchi kwa ujumla.

"Tunampongeza sana Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa kuhakikisha maendeleo yanapatika. Lakini pia tunawapongeza Idara Maendeleo ya Jamii ya Jiji la Dar es Salaam kwa kutekeleza Ilani na kuweka Mipango mizuri  yenye taswira ya kuiinua jamii" alisema Ndg. Mbasa

Kwa upande wake Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Wilaya ya Ilala ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam dugu George Mtambalike, amewaomba maafisa wa Maendeleo ya Jamii kufikisha taarifa muhimu zinazopaswa kuwafikia Wananchi zipite kwa Viongozi wa mitaa Ili kurahisisha ueneaji wa taarifa sahihi kuhusu maswala ya ukatili wa kijinsia pamoja na mambo mengine kwakua  wananchi wote wanatoka kwenye Mitaa ambayo wao ni Viongozi hivyo ni rahisi kupeana elimu.

Awali akiwasilisha taarifa ya utekelezaji, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi. Francisca Makoye amesema kuwa licha ya changamoto kadhaa ikiwemo ya Jamii kutokua na uelewa wa kutosha kuhusu maswala ya ukatili kwa watoto lakini kitengo Cha Ustawi wa Jamii Jiji la Dar es Salaam kimehakikisha elimu Inaendelea kutolewa kwa jamii pamoja na kuanzisha mabaraza ya watoto ili waweze kupata elimu ya kujiamini, kujilinda dhidi ya ukatili wa aina mbalimbali 

Aidha Bi. Fransisca ameongeza kuwa kwa upande wa uwezeshaji wa kiuchumi kwa mwaka huu wa Halmashauri ya Jiji imetenga zaidi ya shilingi bilioni 6.2 kwa ajili ya kukopesha makundi ya Vijana, Wanawake na watu wenye Ulemavu.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.