• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Kamati ya Fedha na Utawala ya Halmashauri ya Jiji la DSM yafanya ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa kwa kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2021/2022 iliyoanza Juni-Septemba 2021

Posted on: November 3rd, 2021

Na. Judith Damas na Amanzi Kimonjo

Kamati ya Fedha na Utawala ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 3 Novemba, 2021 imefanya ziara ya kawaida ya kukagua miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2021/ 2022.

Kamati hiyo iliyoongozwa na Naibu Meya Mhe. Saady Khimji kwa niaba ya Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ilianza kwa kukagua eneo la ujenzi wa stendi ya kinyerezi ambapo stendi hiyo iliyoambatana na ujenzi wa barabara ya Km 7.5 imekamilika kwa asilimia 81 na kazi inaendelea, maeneo mengine yalitombelewa ni ujenzi wa barabara ya nje katika machinjio ya Vingunguti, Ujenzi wa Mabucha ya Nyama Vingunguti pamoja na Ujenzi wa paa katika soko la Machinga Complex.

Itakumbukwa kuwa baada ya Kuungua kwa Soko kuu la Kariakoo Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitoa kiasi cha shilingi Milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa paa katika Soko la Machinga Complex lengo likiwa ni kuboresha mazingira ya kazi kwa Wafanya biashara kwani maeneo hayo yamejengwa kwa ajili ya wafanya biashara waliotoka katika soko kuu la kariakoo waendelee kufanya biashara zao.

Sambamba na hilo Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Khimji amesema "ujenzi uko vizuri japo kuna marekebisho madogo ambayo inabidi yarekebishwe kwani paa linaonekana kuegemea upande mmoja  hivyo inabidi mrekebishe likae sawa kusudi mvua zikianza kunyesha maji yasije yakaharibu bidhaa za wafanyabiashara na wao pia wakashindwa kufanya biashara kwa uhuru."

Aidha, Mhe. Khimji ameeleza kuwa "kupitia ziara yetu ya leo naamini yatafanyika marekebisho ya yale tulio yaona na hivyo kuna umuhimu wakufanya ziara za mara kwa mara ili tuweze kutembelea miradi na tujiridhishe na kushirikiana kwa dhumuni la kufanikisha  shughuli za maendeleo  pamoja."

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.