• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Kamati ya Lishe Halmashauri ya Jiji la DSM yafanya Kikao cha kujadili taarifa za utekelezaji wa kazi za Lishe kwa Kipindi cha Robo ya Nne

Posted on: September 19th, 2023

Kamati ya Lishe Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo Septemba 19, 2023 wamefanya kikao cha kawaida cha Kujadili taarifa za utekelezaji wa Kazi za Lishe kwa kipindi cha robo ya nne kuanzia Aprili hadi Juni 2023.

Akifungua kikao hicho Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Tabu Shaibu amesema kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inatekeleza maagizo ya upatikanaji wa lishe kwa vitendo kwani Serikali ya Tanzania imedhamiria kuendelea kulipa umuhimu wa kipekee suala la lishe bora nchini kwani ni suala mtambuka hivyo kamati ya lishe ihakikisha inajikita zaidi kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu mlo kamili na namna ya uandaaji wa mlo huo huku akiwakumbusha wajumbe wote wa kamati ya lishe kuhakikisha mambo waliyokubaliana katika kikao hicho yanafanyiwa kazi ili kufikia malengo waliojiwekea.

Katika kikao hicho Divisheni mbali mbali ziliwasiliisha taarifa za utekelezaji wa kazi za lishe kwa kipindi cha robo ya nne ambapo baada ya taarifa hizo Kamati iliweza kujadili na kutoa maelekezo kwa Divisheni ya Elimu Sekondari kuhamasisha zaidi suala la lishe kwa wanafunzi kwani inaonekana Shule nyingi za Sekondari na Msingi wanafunzi hawapati mlo kamili.

Vilevile kwa upande wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Afisa Kilimo Bi. Fatuma Mahanaka amesema suala la kutoa elimu kwa wakulima na wafugaji limetekelezwa kwa kutoa ushauri na elimu ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza kuhifadhi vyakula na kuweka akiba ya mifugo kwa matumizi ya baadae huku akiahidi kuendelea kushirikiana na Idara za Elimu Sekondari  naMsingi kuendelea kutoa elimu ya lishe shuleni hususani kuwafundisha wanafunzi namna ya kulima kilimo cha uyoga kwani uyoga ni zao zuri kwa kuboresha Afya ya akili na ya mwili pia.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Dkt. Zaituni Hamza ameeleza kuwa “Afua ya Lishe inasimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tusimuangushe tusimame nae bega kwa bega kuhakikisha masuala ya elimu na utekelezaji wa afua za lishe kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla hivyo niwasihi sana kuimarisha masuala ya lishe kwenye jamii zetu kwani lishe imekua ni changamoto na nitoe wito kwa kila mjumbe aifanye ajenda na kutembea nayo kuelimisha wananchi kuhusu mlo kamili na aina ya vyakula vinavyostahili kuliwa hivyo Divisheni ya Kilimo   mhakikishe mnatoa mchango wenu wa kusimamia namna ya bora ustawishaji wa mazao kwa afya bora.”

Aidha katika kikao hicho wajumbe walikubaliana katika kuongeza jitihada zaidi katika kuandaa programu za kuhamasisha na kutoa elimu za mara kwa mara kwa wananchi juu ya masuala ya lishe hususani mashuleni na kwa mama lishe ili kuboresha Afya za wananchi kwa maendeleo ya Nchi.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.