• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Kikao cha kujadili usimamizi wa taka ngumu jijini Dar es Salaam

Posted on: September 5th, 2017

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Charles akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Sipora J. Liana pamoja na wataalam kutoka OR-TAMISEMI leo tarehe 05 Septemba, 2017 amefanya kikao na wageni kutoka Ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania wakiwa na wawakilishi kutoka Wizara ya Miundominu na Mazingira ya nchini Uholanzi ili kujadili  kwa pamoja namna bora ya usimamizi wa taka ngumu zinazozalishwa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho, Mstahiki Meya ameeleza kuwa usimamizi na uendelezaji wa shughuli za dampo la kutupia taka ngumu katika Jiji la Dar es Salaam unafanywa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika dampo lililopo katika eneo la Pugu Kinyamwezi katika Manispaa ya Ilala. Dampo hilo lina ukubwa wa hekta 65 ambao ni sawa na ekari 162.

Eneo hilo lilifanyiwa upembuzi yakinifu wa athari za mazingira, "Environmental Impact Assessment", na kuanza kutumika rasmi mwaka 2007 Halmashauri ya Jiji ilipokamilisha kuweka mipaka na kuweka miundombinu muhimu ya kufanikisha kazi ya kusafirisha taka kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji na kuzihifadhi katika eneo hilo.

Jiji la Dar es Salaam linakadiriwa kuzalisha taka ngumu tani 4,500 kwa siku na kati ya hizo wastani wa tani 1,200 hadi 1,800 zinazolewa na kutupwa kila siku katika dampo hilo ambazo ni sawa na asilimia 43 hadi asilimia 48.

Lengo la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kujenga dampo la kisasa linalopaswa kukidhi matakwa yote ya kiafya na kimazingira, “Sanitary Landfill”. Uendeshaji wa madampo kwa teknolojia hii hutumika sehemu nyingi duniani hususan katika nchi zinazoendelea.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.