• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Ludigija awaagiza watendaji kusimamia kwa umakini zoezi la urasimishaji ardhi

Posted on: June 6th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ludigija, amewaagiza wenyeviti na watendaji wa mitaa katika Wilaya ya Ilala kushughulikia changamoto za urasimishaji ardhi katika maeneo ya kufuatia malalamiko ya wananchi dhidi ya makampuni yaliyopewa kazi ya urasimishaji ardhi kwa niaba ya Serikali.

“Nahitaji makampuni yote binafsi kusimamia urasimishaji wa ardhi kwa kushirikiana na kamati zilizoundwa na Serikali za Mitaa kuhakikisha jukumu la urasimishaji ardhi linakuwa na matokeo chanya ambayo yatatutoa katika changamoto za migogoro ya kila siku,” amesema Ludigija.

Mkuu huyo wa Wilaya amewaeelekeza watendaji wake kuendelea kutoa elimu ya ya kutosha  kwa wananchi kuhusu urasimishaji wa ardhi na faida zitokanazo na zoezi hili ili wananchi wawe na mwamko wa kuchangia kiasi cha fedha kilichopangwa na serikali.

 “Ombi langu kwa wenyeviti wote wa mitaa na watendaji wote ni kufanya vikao na wananchi wenu na kutoa elimu juu ya umuhimu wa urasimishaji ardhi kwa kutambua kwamba zoezi hili ni la kitaifa na kila mwananchi anapaswa kurasimisha sehemu yake,” amesema Ludigija.

Mhe. Ludigija amewaeleza watendaji hao kuwa zoezi hilo litasaidia kuimarisha usalama, kutoa fursa kwa wamiliki wa ardhi kupata na kunufaika na mikopo kutoka katika benki mbalimbali nchini. Aidha, ameyataka makampuni yote ya urasimishaji kuhakikisha wanakutana na kujadiliana kuhusu changamoto zinazosababisha baahi ya kampuni kushindwa kufanya kazi zao na kupotea na fedha za wanachi.

Kupitia fursa ya mkutano huo wa Mkuu wa Wilaya ambao ulihudhuriwa na wenyeviti na watendaji wa Serikali za Mitaa, wawakilishi wa makampuni ya urasimishaji ardhi na wadau mbalimbali katika sekta ya ardhi, mwakilisha wa Benki ya NMB, Irene Masaki ambaye ni Meneja Uhusiano kutoka katika kitengo cha huduma kwa wateja Kanda ya Dar es Salaam inayohusisha mikoa ya Pwani na Morogoro amesema kuwa benki ya NMB inafungua milango ya mikopo kwa wananchi kuwawezesha kupata fedha za kuchangia katika zoezi la urasimishaji.

Masaki amesema kuwa benki hiyo itatoa mikopo ya fedha kuanzia kiasi cha shilingi laki mbili hadi milioni moja ambacho taratibu zake za urejesha zina masharti nafuu ya kuwawezesha wananchi kurejesha kiasi kidogo cha fedha katika kipindi cha mwaka mmoja ili kuhakikisha suala hili la urasimishaji linafikia malengo.

Akiongea kwa niaba ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Tabu Shaibu, amesema Halmashauri ya Jiji itasimamia zoezi hilo katika kila kata kuweza kufikia malengo ya Serikali juu ya  urasimishaji wa ardhi nchini..

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.