• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Ludigija azindua kampeni 'Kataa Kitaa' Jijini Dar es Salaam

Posted on: June 13th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ng’wilabuzu Ludigija, leo tarehe 13 Juni, 2022 amezindua kampeni  ya “Kataa Kitaa” inayolenga kuwaondoa watoto wanaoishi mtaani ili wakaishi kwenye maeneo yaliyopangwa na Serikali. Kampeni hiyo ilizinduliwa katika eneo la Askari Monument lililopo Posta Mpya, Dar es Salaam.

“Namshukuru Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani, kwa kuimarisha huduma zinazotolewa kupitia vitengo vya maenedeleo ya jamii, jinsia, watoto na watu wanaoishi katika mazingira magumu.  Kupitia kampeni hiyo tunaweza kuibadilisha jamii kwa kuweza kuwatumia watoto hawa kutoa elimu kwa watoto wengine ili wasiendelee kuishi mtaani,” amesema Ludigija.

Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya alikemia tabia ya baadhi ya wazazi kuwatumia watoto hao kama chanzo cha mapato kwa shughuli za kuomba omba mitaani. “Nakemea wazazi wote wanaotumia watoto hao wa mtaani kama chanzo chao cha mapato. Tabia hii inakwaza juhudi za Serikali za kuwaondoa watoto hao mitaani,” amesema Mkuu huyo wa Wilaya.

Kampeni hiyo inatekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na taasisi ya Pink Tie Foundation na James Foundation ambao ni wadau waliojitokeza na ushauri wa kuwasaidia watoto hao kupata sehemu za kuishi, kujua vipaji vyao na mahitaji yao.

Mwakilishi wa taasisi ya Pink Tie Foundation, Lilian Mwasha alisema taasisi yao ilikusanya nguvu za kuwakutanisha watu mbali mbali kwa lengo la kuwasidia watoto hao ikiwa ni pamoja na kutoa msaada wa kisheria.

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano, Tabu Shaibu, amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia kitengo chake cha Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na taasisi ya Pink Tie foundation inauunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwasaidia na kuboresha ustawi wa watoto.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.