• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Madiwani Jiji wapitisha mpango na bajeti wa bilioni 25.3 kwa mwaka 2020/2021

Posted on: January 25th, 2020

Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 25 Januari, 2020 wakiongozwa na Naibu Meya wa Jiji, Mheshimiwa Abdallah Mtinika kwa kauli moja wamepitisha mpango na bajeti ya mwaka 2020/2021 wa jumla ya shilingi za Kitanzania bilioni 25.3 ikiwa ni bajeti ya mishahara ya watumishi, matumizi ya kawaida na za utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.

Akiwasilisha mpango na bajeti hiyo kwa wakazi na wadau mbalimbali wa Jiji waliohudhuria Mkutano wa Baraza, Naibu Meya Mtinika ameeleza kuwa mpango na bajeti wa shilingi bilioni 25.3 ni kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato na kati ya fedha hizo shilingi za Kitanzania bilioni 13.7 zinatarajiwa kukusanywa kutoka kwenye vyanzo vya mapato ya ndani vya Halmashauri na shilingi za Kitanzania bilioni 11.7 kutoka Serikali Kuu.

Aidha ameeleza kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeendelea kuboresha ukusanyaji mapato yake ya ndani kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato wa Mamlaka za Serikali za Mitaa pamoja na kubuni vyanzo vingine vya mapato.

Amefafanua kuwa mpango na bajeti ya mwaka 2020/2021 umelenga kutekelaza miradi ya ujenzi na ukarabati wa majengo, barabara na vituo vikuu vya mabasi yaendayo mikoani (Mbezi Luis na Boko), uboreshaji wa miundombinu ya dampo, uwekezaji vitega uchumi kwenye viwanja vya Halmashauri, uendelezaji wa utalii na hifadhi ya mazingira na kuhakikisha utoaji wa huduma bora unaoepusha usumbufu kwa jamii.

Amesema Halmashauri pia imepanga kutumia asilimia 65.72 ya mapato ya ndani sawa na shilingi za kitanzania bilioni 8.1 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya mfuko wa wanawake, vijana na walemavu.

“Makisio ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ya jumla ya shilingi za Kitanzania bilioni 13.7 kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji yameongozeka kwa kiasi cha shilingi za Kitanzania bilioni 5.2 ambayo ni sawa na asilimia 61.77 ya makisio ya shilingi za Kitanzania bilioni 8.4 ya mwaka 2019/2020 kutokana na usimamizi wa karibu, uboreshaji wa mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki na kuanza kwa makusanyo kwenye chanzo kipya cha mapato cha Kituo Kikuu cha Mabasi cha mbezi Luis”, alisema Mtinika.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.