• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mkuu wa Wilaya ya Ilala awahakikishia Wakazi wa Mtaa wa Kipunguni kulipwa fidia zao

Posted on: September 13th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewahakikishia wakazi wa Mtaa wa Kipunguni kata ya Kipawa waliopisha ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere kuwa hadi kufikia Novemba watakakua wamelipwa fidia zao.

Hayo ameyabainisha Leo Septemba 13, 2024 wakati akiendelea na ziara yake ya kusikiliza na kutatua Kero za Wananchi wa Kata Za Kipawa, Kiwalani na Minazi Mirefu ambapo kwa wakazi wa Kata hizo changamoto kubwa waliyoiibua ni kutokulipwa fidia za Maeneo yao jambo linalowaletea ugumu katika kuendeleza maeneo hayo kwa kuboresha makazi yao.

Akizungumza na wananchi hao Mhe. Mpogolo amewataka wakazi hao kuwa wavumilivu kwani suala hilo linakwenda kupatiwa ufumbuzi kwa ukaribu na hadi kufikia Novemba 2024 wakazi hao  watakua washalipwa fidia zao.

“Kipekee natoa Shukrani zangu za dhati  kwenu wana Kipunguni kwa uvumilivu na uzalendo mliouonyesha kwa Nchi yenu kwa kipindi chote mlichokua mkisubiria fidia hivyo Napenda kuwafahamisha kilio chenu cha muda mrefu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekisikia na ameshatoa maelekezo kwamba malipo yaanze kufanyika, kinachosubiriwa sasa ninamna Wataalamu wetu wanavyoandaa mfumo mzuri wa malipo hivyo Niwatie mono kwamba hadi kufikia mwezi Octoba mwishoni  mtakua mmelipwa fidia zenu”. Amesisitiza Mhe.Mpogolo.

Announcements

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2025 July 08, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA February 28, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • Mkurugenzi Mabelya ajifungia na watendaji wake kwa siku 2 kuweka mikakati ya ukusanyaji mapato

    July 17, 2025
  • "Tanzania ina umeme wa kutosha" - Mhe. Dkt. Biteko

    July 11, 2025
  • Jiji la Chengdu China kuanzisha uhusiano wa ushirikiano na Jiji la Dar es Salaam

    July 08, 2025
  • Mikopo ya asilimia 10 imekuza mitaji ya wajasiriamali wadogo - DC Mpogolo

    July 07, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.